Takriban wafanyakazi 10,000 kutoka viwanda vya kuzalisha nguo wamejaribu kuwazuia wenzao kurejea kazini katika mji wa viwanda wa Ashulia, katika vitongoji vikubwa vya magharibi mwa mji mkuu Dhaka.