HATIMAYE leo mashindano ya Afrika Mashariki na Kati kwa vijana U-20, CECAFA yanahitimishwa huku ikipigwa fainali inayowakutanisha wenyeji Tanzania maarufu Ngorongoro Heroes dhidi ya Sudan, ...
MWENDELEZO wa kiwango anachokionyesha beki wa Yanga, Ibrahim Hamad ‘Bacca’, nyuma yake inatajwa nidhamu na bidii ya mazoezi, ndivyo vinavyompa heshima hadi sasa.
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew.
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga raia wa Zambia, Obrey Chirwa amemtaka straika mpya wa timu hiyo, Peter Shalulile kusahau ...
BAADA ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda kusema kuwa hazitambui jezi za timu za taifa zilizozinduliwa wiki iliyopita kwa maelezo kuwa Shirikisho la Soka ...
KUNA mastaa wa muziki wanaokuja na kuondoka kama upepo, lakini kuna wengine muda unapita na wao bado wanasikika, wanaheshimika na kazi zao zinaendelea kuwa sehemu ya historia.
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew.
TIMU ya Taifa ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys, imepangwa Kundi C pamoja na Kenya na Djibouti katika kuwania tiketi ya Ukanda wa CECAFA kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya ...
TIMU ya Taifa ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys, imepangwa Kundi C pamoja na Kenya na Djibouti katika kuwania tiketi ya Ukanda wa CECAFA kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya ...
MSHAMBULIAJI wa Kagera Sugar, Naku James Kazimoto amesema ujio wa kocha mkuu, Mrundi Cedric Kaze ni moja ya sehemu muhimu kwa wachezaji wa kikosi hicho kubadilisha upepo mbaya ambao ...
WANAUME watano wameshtakiwa baada ya gari la kubebea maiti pamoja na gari jingine kuingizwa kwenye uwanja wa mpira wa miguu na kufanya mizunguko kadhaa hali iliyosababisha mchezo ...
MIAMI Heat ya sura mpya ina supastaa wa kikapu Giannis Antetokounmpo pamoja na Bam Adebayo. Kwa pamoja wanahitaji nini zaidi ili kushindana katika Ligi ya Kikapu Marekani (NBA), Kanda ya Mashariki?
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results